Smile255 is the first and only Tanzanian youth ultimate frisbee program. Started in 2015 by Mwinyi Fantastic, the program has sent youth players to tournaments in Rwanda, Kenya, and Uganda. The mission of Smile255 is to grow the sport of ultimate frisbee in Tanzania through empowering and enspiring young players. Mwinyi believes that it is important to create a welcoming environment for ultimate frisbee in Tanzania where everyone can have an equal opportunity to join. Smile255 places special emphasis on Spirit of the Game and equity in an attempt to grow the sport in the healthiest way possible.

In addition to sending players to tournaments in nearby countries, Mwinyi and Smile255 have also organized all of the tournaments in Tanzania in recent years. The Kilimanjaro International Frisbee Tournament, in 2019, hosted players from Tanzania, Rwanda, Kenya, and the USA. The Swahili International Beach Club Tournament, planned for 2022, will be hosted in Mwanza in an attempt to bring more international players and inspire the players of Tanzania.
Smile255 ni program ya kwanza na ya pekee ya kukuza na kuendeleza mchezo wa frisbee miongoni mwa vijana nchini Tanzania. Programu hiii iliyoanzishwa mwaka wa 2015 na Mwinyi Fantastic, imesaidia kupeleka vijana mbali mbali kwenye mashindano nchini Rwanda, Kenya, na Uganda. Dhamira ya Smile255 ni kusaidia kukuza na kuendeleza mchezo wa frisbee nchini Tanzania kupitia kuwawezesha na kuwatia moyo wachezaji wachanga. Mwinyi anaaamini kwamba ni muhimu kuweka mazingira rafiki na mazuri kwaajili ya watu kujiunga na mchezo wa frisbee hasa kwa wachezaji wachanga, ambayo kila mtu anaweza kuwa na fursa sawa ya kujiunga na mchezo wa frisbee. Smile255 imeweka mkazo maalum kwenye Spirit of the Game na usawa wa kijinsia katika kuuukuza na kuuendeleza mchezo wa frisbee kwa njia bora zaidi iwwzekanavyo.

Mbali na kupeleka wachezaji kwenye mashindano katika nchi jirani, Mwinyi na Smile255 pia wameandaa mashindano yote ya Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. Mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro ya mchezo wa frisbee mwaka 2019, yalishirikisha wachezaji kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya na Marekani. Mashindano ya Kimataifa frisbee ufukweni yaliyopangwa kuganyika 2022, yataandaliwa jiju Mwanza katika kujaribu kuleta wachezaji wengi wa kimataifa kwa dhumuni la kuwatia moyo wachezaji wa Tanzania ambao wengi wao ni nadra sana kushiriki mchezo wa frisbee nje ya mipaka ya Tanzania.