Smile255 is always trying to raise money to be able to send more Tanzanian youth players to more tournaments. Sending a player to a tournament in a neighboring country costs roughly 150USD when factoring in travel, food, lodging, tournament fees, and government fees. In addition to sending players to tournaments, normal expenses include cones, discs, bibs, and water for training. Smile255 is trying to register with the government to be able to recieve funding but is currently self-supported with help from friends. If you would like to support Smile255 in any way, please reach out to smile255tz@gmail.com. Smile255 huwa inajaribu kutafuta pesa ili kuweza kupeleka wachezaji wengi vijana wa kitanzania kwenye mashindano zaidi. Kutuma mchezaji mmoja kwenye mashindano katika nchi jirani inaweza gharimu mpaka kufikia takriban dola 150 za kimarekani kwa kujumuisha usafiri, chakula, malazi, ada za maahindano na ada za kupata karatasi za kusafiria za serikali lakini hiyo pia itategemeaana na sehemu mashindano yalipo na umbali, wakati mwingine inaweza kuzidi hapo. Mbali na kupeleka wachezaji kwenye mashindano, gharama za kawaida za mazoezi na usimamizi wa ufikishaji wa mafunzo ya frisbee kwa ndani ya Tanzania ni kama koni, diski, bibu, nauli kutoka sehemu mija ya mazoezi kwenda nyingine na maji wakati wa mazoezi. Smile255 inajaribu kuweza kupata usajili kamili serikalini ili kuweza kupata udhamini. Ikiwa ungependa kuunga mkono Smile255 kwa njia yoyote tafadhali wana na smile255tz@gmail.com.
Many thanks for the continued support from friends of Smile255 such as Collin Spurway, Ueli Listchner, Jenny Tiberio, Saimon Hurmony, Mao Yamaguchi, Elizabeth Grace Nowlin, Piotr Czechowski and the entire East Africa frisbee community who have been helping us in one way or another to achieve our goals. Asante sana kwa usaidizi unaoendelea kutoka kwa marafiki wa Smile255 kama vile Collin Spurway, Ueli Listchner, Jenny Tiberio, Saimon Hurmony, Mao Yamaguchi, Elizabeth Grace Nowlin, Piotr Czechowski na Familia nzima ya wachezji wa frisbee Afrika Mashariki ambao kwa namna mmoja ama nyingine wamekuwa wakitusaidia kwa hali na Mali kuweza kufikia malengo yetu.